WITO KWA WANAFUNZI
INNOVATION IDEAS
Onesha ubunifu wako. Wazo lako linaweza kuwa mwanzo wa kitu kikubwa 🚀
Wanafunzi mnaalikwa kuendelea kusajili idea zenu za innovation. Usiogope, shiriki tu wazo lako, unaweza kuwa miongoni mwa washindi wa donge nono 💰🏆
📌 Hatua ya Kwanza:
Jaza idea yako kupitia link iliyowekwa hapa chini.
Baada ya hapo, screening itafanyika na wale watakaopita wataelekezwa hatua inayofuata.
✨ Unaweza kujaza kupitia link au kwa kuscan QR Code kwenye poster.
⏳ Mwisho wa kutuma: 29 March 2026
🚀🌟 Usikose nafasi ya kuonesha ubunifu wako!